Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binam ana masimba mabaskeli na makilakitu mweeh Obe salama kwani,?

Sent using Jamii Forums mobile app


....ha hahaha, Mary, mwanamke unayependwa na hela zangu. Nilikumiss na always ni furaha kukuona hapa.

Hayo masimba aka mnyama ni kwa sababu timu yangu na Haji Manara ilifanya mauaji ya kikatili pale kwa wale jamaa wa Congo, hiyo baiskeli ndo usafiri wangu job nakata kitambi na kutafuta appetite ya biere kwa kuendesha baiskoo (nna eseni usiogope) na nina mkoba wa kazini na jtatu huwa nanyonga tai kama bosi kumbe ni bosta (boss of shit).

Uko poa lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom