Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Sasa umejuaje ebu nitafutie huyo mzee
Sasa umejuaje ebu nitafutie huyo mzee
Huko nilikuwa nazuga tuu... Hata mie nimekuona huko ila nilikumiss.
Sent using Jamii Forums mobile app





Hakuna aliyemuudhi alikua anabadilisha mazingira tu
Aaaa.. Basi vizuri piaaHakuna aliyemuudhi alikua anabadilisha mazingira tu
Hahahaha... Mpk unambie mna miadi gani nayeBwana weeh ebu acha maswali ebu nitaftie huyo mzee mtuchake
Upoje lakini haya nina miadi naye kanitafutie
Habari za huko duniani eti
Hakuna aliyeniudhi, nilikuwa bize bize napenda niwe free kabisa ndio nije kupiga soga na makapuku wenzangu.
Hahaa.. Sasa tigo pesa inaingiaje shunie akee wajameni..Nauaje jamani ebu kuwa kama shemela wangu shululu simba tukishinda lazima tigo pesa iingie ya heineken
Wewe Dada mbona haunijibu quote yanguHabari za huko duniani eti
Si heineken maka akee au hizo heineken zako zipoje jamani za kuzifata au
Usijitie udogo usiokuwa nao shunie akee!! Tigo pesa inachekaje wakati hata namba za telefoni zako sina ndugu yangu.Si heineken maka akee au hizo heineken zako zipoje jamani za kuzifata au
Usijitie udogo usiokuwa nao shunie akee!! Tigo pesa inachekaje wakati hata namba za telefoni zako sina ndugu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app








haujataka ungetumiwa nimechekaMekujibu mbonaWewe Dada mbona haunijibu quote yangu
Haya