Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Niko poa, leo umepata ka twist asubuhi!!?TUKO poa, habar yako Mkuu??
Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
Niko poa, leo umepata ka twist asubuhi!!?TUKO poa, habar yako Mkuu??
mie kilo ya sukar inatosha swez kubeba 50 kgs bossNa wewe vipi braza?
Fresh,mishe vpSafi. Niaje kwako?
oyoooo karibu kijiweni kwetu bas leo tumetembelewa na mgeniAbee
Kuna tatizo kwani?haya majina jaman mazito zaid ya nanga
Dada toka asubuhi nakuona unapita kimya kimya tu nikigeuka kukuchek ushapotea....Mzima wewe?Kuna tatizo kwani?
Hapo sasa ndo umeongea point,Droo au wafungwe hao Barcelona
Msikimbie nyie tuBaadaye tutaona
Na PNC 1 atakuja kupuliza vuvuzela msije kumkimbia
![]()
![]()
![]()
...........
hakuna tatizo ddake...just mtizamo tuKuna tatizo kwani?
Nawaona wanaume wa ukweli
Week end Leo watu wamejichimbiaJaman youngblood kaonekana mtaa huu!!?