OHOOO mkumbushe .....kijana amka ukilala unalaliwa by Mr Blue
hahahhahhah nimecheka kama syo mmi vile![]()
Mtoto wa jirani
![]()
![]()
...............
Safi. Niaje kwako?Mambo?
Hahahaa... Kwanini wasema hivyo kaka?naamin kwa yule mwalimu atatoka hapo mtu
Mie niko mzima. Weekend vipi?Shwar shem
Mzima wewe??
hhahhaahhh kaka ubora unajielezea wenyewe nikitia maneno yangu itakuwa nakiuka lengo...na yasije yakawa ya mgemaHahahaa... Kwanini wasema hivyo kaka?
Mie niko pouwaa shem. Mambo mengine vipi?Salama mzima shemdarling
Na kwako pia.Mpo wazee mchana mwema
Labda anataka kukamatwa ugoni, wee mwache tu.
Sawa kabisa, huku sisi ni 14c na jua la kutoshaHuku baridi sana.
Sema leo kuna ahueni, jua limetoka kidogo.
Aione kaka hiiMutu imefundishwa shabaha then ikamulenga mwalimu yake mukichwa paaa
Cc amaizing
Manuu
Jimena
Karibu kijanaMpo wazee mchana mwema
Bure ghali![]()
Navizia bus la bure
![]()
![]()
![]()
![]()
............
YeahhhhBaadae Real Madrid