Hahahhaha inaleta ndivyo sivyo nn ankoHutaki anko wako akuone vizuri mpwa wake ?
Maana kuna minjemba inaleta ndivyo sivyo.
Wewe huyo unakunywa dompo ya redMie huyooo
Nikuywe dompoo
Vipiiii jamaniMmmh mmmh
Hahahhahaha mama la dompo nimelipenda jina mm
Kabla sijajibu
Ile akili ilotuma kiwiliwili ni akili ya nini eti
Mm huyu jamani
Mama dompo atabaki kileleni
Simba raha jamaniiiMwenye simba yake jana
Mamaaa... Nakufwa aaah
Hahahhahaha mama la dompo nimelipenda jina mm
Nitapata Tabu ya kumuokota mimi..Hahaha natamani Dada akee shunie afikie kwenye whisky
Hahahah T ni chiziHahaha hahaha
Hivi kumbe hunipendi kabisaaa jamanii
Mmmh mmmh mmmh
Sawa baba Naa
Kuna rafiki yangu alikua anapendaga mirungiSio bangi..
Kuna mirungi inaletwaga Arusha kutokq kenya...inakuwa kwa basi za Tahmeed..
Hiyo mirungi ni Og yaani! Yaani just a single chew..you feel as if uko peponi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga wewe nimecheka