Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mbona mnafukuzana anifate whatsapp tenaHahaha hahaha
Shunie hayupo
Eeenh naona mnanisemea wasemaji wanguYuko hooiiii hukooo
Ebu ukoMwenyewe
Sijambo shikamoo katekista wa sakayoHujambo bibie ,za jpili ?
MTC | 101|![]()
Baba wawili huyoulifanikiwa?
Achana na hili kaburi..! Limewekewa nondo kabisa usifukueMbona mnafukuzana anifate whatsapp tena
Kipoje hiko
Na mm nitakuwa namwita nimelipenda jinaHahahaaa...
Wewe usijesababisha nikanyimwa Alua bhana! Hilo jina langu mimi na yeye tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mzigo wako utafanyaje tena
Kwani umeelewaje we mzeeAsee ,'kileleni' sio
MTC | 101|![]()
Dunia ya 7
Kama hiiSio bangi..
Kuna mirungi inaletwaga Arusha kutokq kenya...inakuwa kwa basi za Tahmeed..
Hiyo mirungi ni Og yaani! Yaani just a single chew..you feel as if uko peponi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokunywa leo sijui nnMimi huwa hata akili yangu siilewi vizuri..
Kuna wakati nakuwaga mtoto, sometimes kijana, sometimes mtu mzima afu naweza nikawa babu pia...
Yaani nipo kama mafuriko tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unanilete ugomvi na sakayo... hapo..!Na mm nitakuwa namwita nimelipenda jina
Hapana T ni marehemu now
Ni poa