Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Aiseeee
Aiseeee
Nimekunywa juice ya Embe tuu shunie..Unachokunywa leo sijui nn
Umemaliza kusherehekea shunie??Baba wawili huyo
Kwenye ubora wako kabisa
Dada ake mwenyew,,,miss youMwenyewe
Hahahhaha leo unakunywa nini na mm ninyweSasa wewe unanilete ugomvi na sakayo... hapo..!
Tafadhali..! Nitakayeteseka kunyimwa mbunye ni mimi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Juice ya embe hii hiiNimekunywa juice ya Embe tuu shunie..
Niko na wanangu hapa wanacheza game..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tunashangilia ushindi jamani simba rahaaaa mnyamaaaaUmemaliza kusherehekea shunie??
HahahaKwenye ubora wako kabisa

Hapana T ni marehemu now
Kweli shunie..Juice ya embe hii hii
Umeanza tena??kashinda United kwa PSG,,itakuwa Simba bhanaBado tunashangilia ushindi jamani simba rahaaaa mnyamaaaa
Wewe....Ndio mzigo wako utafanyaje tena


Ila hiyo comment yako bhana,,et unafeel kama uko peponi,,imenikumbusha kitu mzee,,,haya majani sio kabsa
Mzee baba achana na hiyo...Ila hiyo comment yako bhana,,et unafeel kama uko peponi,,imenikumbusha kitu mzee,,,haya majani sio kabsa
Mzee baba achana na hiyo...
Ujue hapa ni public..! Najitahidi sana kuzuia vidole vyangu visiseme zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app