Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kwahiyo ukaamua kukaza hapohapohahahah ...hapana bhana niliamua tu kujipumzisha kula ngano nikajikuta huku kwenye zabibu nimepapenda zaidi![]()
Kwahiyo ukaamua kukaza hapohapohahahah ...hapana bhana niliamua tu kujipumzisha kula ngano nikajikuta huku kwenye zabibu nimepapenda zaidi![]()
Kwani malisho yameshatoka
Hahaaha ww huyu sishangai hata Yesu alikanwaHapana dada
Salama Dada shikamooHabarini za jumapili
Asanteee jamaniHahahaha, nimeona Jana asee ,hongera Simba ,hao jamaa huwa wanatufunga sana sie Tp Mazembe
MTC | 101|![]()
Kwaresma hiiDada yako nahisi alienda kunywa beer za bure jana..! Manake kilichoendelea huko mitaani Mungu anajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahhahahahhahNauza midoli ya simba buku tu
Njooni pm
Mtoto wa kike mm hivi nalalaje mpaka mchanaHawezii kuamkaa sasa hiviii




Kaka jana umemaliza ushidi kwa kunaniii... si lazima uchelewe kuamka?Mtoto wa kike mm hivi nalalaje mpaka mchana
Usichekee...! Kuna mdogo wangu alianzaga kunywa Champgaine...! Mara mara Balitika...! Mara cocktail
Kwani malisho yameshatoka
Hutaki anko wako akuone vizuri mpwa wake ?Hahahhaha anko hata ww unataka nigeuke
Marahaba mdogo wanguuSalama Dada shikamoo
Khaaaa
Mie huyoooHahaaha ww huyu sishangai hata Yesu alikanwa
Hajajibu wala