Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Achana nazo pls!Sawa
Nitajaribu kufikisha salamu


Shunie anakuita huko whatsapp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nazo pls!Sawa
Nitajaribu kufikisha salamu


Hizo mirungi zipo mob sana kwa border kule..Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Kenya bwana mirungi ni halali kabisaaa, halafu magari yanayosafirisha mirungi yakipita ni zaidi ya ambulance, yanakimbia balaa na yanapishwa kabisaaa njiani hukoo!!!
Hahaha hahaha
Nazipenda sana kucha zangu jamaniHizo mirungi zipo mob sana kwa border kule..
Anyway ! Tuachana nayo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwooo
Yuko hooiiii hukooo
Hakuna mtu anang'oa kucha zako wala..Ndiwooo
Au unataka wazing'oee jamanii
Hapana cheza na siri kali
MwenyeweWe nae unapenda ukubwa mfyuuu
Kwa nini utupishe
Za jioni wadau,hope jpili tulivu mko sehemu mnafurahia maisha




ulifanikiwa?
Mm mtawa jamaniKaka jana umemaliza ushidi kwa kunaniii... si lazima uchelewe kuamka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Milele Amina
Hahaha natamani Dada akee shunie afikie kwenye whiskyUsichekee...! Kuna mdogo wangu alianzaga kunywa Champgaine...! Mara mara Balitika...! Mara cocktail
Sasa anakunywa Whisky Kavu na konyagi tuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Za binamu zitakuwa zile ambazo hazina uboraNaskia wapo waliopewa ss sijajua km Binam wako nae alikuwepo humo
Sent using Jamii Forums mobile app