marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji38][emoji38]Nilikua mtwara mama kukaba malipo ya koroshow [emoji6][emoji6]
Mzima ww.?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]Nilikua mtwara mama kukaba malipo ya koroshow [emoji6][emoji6]
Hapana dadaJamani si unakunywaga wine
Hahaha hahaha
Pole sana baba NaaaTayari kidole kina bandeji...[emoji41]
Na naendelea kushangilia kama kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa baba lai
Hahaha hahaha hahahaUle ni ulaini ama ugumu ?
Kun Fung! Sijui kun aguero [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Habari za Jumapili yako
Jumapili njema
Habari yako rafikiJumapili njema
MTC | 101| [emoji769]
Habari yako rafiki
Nzuri kabisaaa, jumapili ya pili leo baada ya kwaresma kuanza baba Naa
Wazee wa bien coma cava wamechezeshwa dombolo ya solo pale taifa..[emoji23][emoji23]Nzuri kabisa, naona jpili umeanza bien
MTC | 101| [emoji769]
Nimeianza na MunguNzuri kabisa, naona jpili umeanza bien
MTC | 101| [emoji769]
Haya
Sawa rafikiVzr Sana Rafiki
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, nimeona Jana asee ,hongera Simba ,hao jamaa huwa wanatufunga sana sie Tp MazembeWazee wa bien coma cava wamechezeshwa dombolo ya solo pale taifa..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app