Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jumanne tulivu hii, na kama kawaida sichoki kukusalimia wewe mdau wa Jukwaa hili. wewe ni sababu kubwa jukwaa hili linadumu na kuvutia kila wakati. Nashukuru kwa kutonisalimia, maisha ni haya haya na sasa burudika na muziki huu, ukiyasikia marimba basi ni sababu ya mimi kuupandisha hapa.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom