Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahah kabsa,,acha awe mjanja mjanja kwa sasa,,atarulia tu,binamu akishachukua mapesa yake

....hela nimechukua nusu, nyingine bado si umesikia kwamba kuna masuala ya ubora eti korosho zimewekewa madaraja utasema tumbaku au pamba. Miaka yote tuliuza bila hizi longolongo mjomba.

sasa subiri Pasaa ifike nikutumie zawadi ya sikukuu. Ndugu yako sina hiyana kwenye zawadi
 
Hahaha kama namuona jirani yangu ABJ atakavyosoma hii comment mara mbilimbili akiirudia

Binamu Pasaka mambo yatakuwa faya hakika
 
Hivi yy kapona kurudishiwa yaloota kweli

...nimerudishiwa nusu, subiri pasaka nakuletea zawadi ya sikukuu. Utaipenda sana, sasa hivi andaa njaa tu na ikiwezekana anza kwaresma wiki hii ili ukifungulia tu unakutana na mazawadi toka kusini kunakopatina ajiji la maraha Ntwara
 
Hahaha kama namuona jirani yangu ABJ atakavyosoma hii comment mara mbilimbili akiirudia

Binamu Pasaka mambo yatakuwa faya hakika

...itakuwa ni faya mamanakufa. Yaani hapa hadi yule mtoto wako yule uliyemzalisha yule mgunya wa Pemba atapata gawio. Usihofu akipata wengine hawatajua
 
Hebu burudika na muziki muda huu baada ya kuyakamilisha masuala yako binafsi. Mimi yangu masuala nimeyakamilisha nusunusu, jumatatu hutakiwa kukamilisha kila kitu, asante kwa kutouliza

Similar Discussions

Back
Top Bottom