Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Pole mnooo jamaniAnyway...
Mshikaji wangu ruge mutahaba amenitoka.
Pole mnooo jamaniAnyway...
Mshikaji wangu ruge mutahaba amenitoka.
SawaNdio
Tema mate chiniKho kho kho
Ngoja nijaribuTema mate chini
HayaNgoja nijaribu
Afu sakayo afanywaje?Kapige
Ndio shangazi,,,kwema shunie???Baba wawili huyo
Sasa ulovyoongea habari za puchu na unajua sakayo yupo ulimaanishaje etiAfu sakayo afanywaje?
Kwema baba wawili za weweNdio shangazi,,,kwema shunie???
Ngoja nikafute ile comment kabla sakayo hajaiona..Sasa ulovyoongea habari za puchu na unajua sakayo yupo ulimaanishaje eti
Ameshaiona mbonaNgoja nikafute ile comment kabla sakayo hajaiona..
EeenhSalama pia shangaz,,,nywele hizo shangaz![]()
Nimenunulia handbag na chupi vya kwenda kumbembelezea...Ameshaiona mbona


Ni kama za yule dada wa zile nywele za DarlingEeenh
Zimefanyaje baba wawili nywele
Aibu nimeona mmNimenunulia handbag na chupi vya kwenda kumbembelezea...![]()
Ni kama za yule dada wa zile nywele za Darling




Mpaka nywele za darling baba wawili unazijua jamani nimekushindwa mm


