Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Sema ukweli
Sema ukweli
Kifo mubashara kabisa.! Though ni maumivu kwa watu wake wa karibu walio hai.
Kwamba nikapige pichu leo..? [emoji23][emoji23][emoji23]..Wanaume mnaitwa huku mtu chake Obe ningendako Transcend View attachment 1032526View attachment 1032527
Hahahaha, nawe pia kwako Mama mchungaji
MTC | 101| [emoji769]
Hahah binamu tulia,huchelewi kuleta fitina....binamu, hapa hebu kuwa mkweli, naona kama unapiga lead guitar hapa
Hahah habar njema hii binamu...itakuwa ni faya mamanakufa. Yaani hapa hadi yule mtoto wako yule uliyemzalisha yule mgunya wa Pemba atapata gawio. Usihofu akipata wengine hawatajua
Duh,,hz tafiti sasa mbona zna hatarWanaume mnaitwa huku mtu chake Obe ningendako Transcend View attachment 1032526View attachment 1032527
Njema mkuuuuu...Habari zenu humu ndani jamani!?
NiambieNimelaza whisky ya kwanzaaaa....
Sakayo yuko wapi jamaaaaaani
Mamaaaa nakufaaaaaaView attachment 1032799
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna tatizo mkuu. Za siku vipi!?Njema mkuuuuu...
Kuna tatizo kwani?
Niko hapa mimi
Sio nimekuita tuuu....Niambie
Sijui umeniita
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]Niko hapa mimi
Ooooh...Sio nimekuita tuuu....
Nakuheshimu wee mwanamke
Awww[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Makopa kama yoteeeeee
Pouwa kaka..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna tatizo mkuu. Za siku vipi!?