Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,818
Na ww piaMuwe na asubuhi njema wapendwa
Hakika tumeburudika usk kucha[emoji4][emoji4]
Hujambo baba koroshow, ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mmeburudika.
Sijambo sana Mary, asante kunijulia khali.
Korosho bado tunasubiri kulipwa.
Afu huwa sijui kwanini, kila nikiwaza hela za korosho najikuta nakupenda ila nikiwa sina hela za korosho basi hamu zangu zinaenda kwa mwingine kabisa.
Mzima wewe
HahahahaNaanzaje kuachika kifwala binamu
Haachiki mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MmmmmNashukuru mmeburudika.
Sijambo sana Mary, asante kunijulia khali.
Korosho bado tunasubiri kulipwa.
Afu huwa sijui kwanini, kila nikiwaza hela za korosho najikuta nakupenda ila nikiwa sina hela za korosho basi hamu zangu zinaenda kwa mwingine kabisa.
Mzima wewe
Kwema jirani
Salama kabsa,hope ni mzima na unaendelea na majukum yako ya kila siku
Mi mzima tu, haya jirani asante kwa salamu majukumu mema kwakoSalama kabsa,hope ni mzima na unaendelea na majukum yako ya kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu mwezi kwakwel nimeuvulia kofiaAje tuu kuanzia kesho 1st Feb mambo mazuri[emoji38] maana huu mwezi unaoisha leo wenye sk 700 umetunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu mwezi kwakwel nimeuvulia kofia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwezi unaenda mbele na kurudi nyuma.
Aje baby wetu ss januari ameenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana jirani
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahaha
Miss u