Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Ajahah achana nayo mambo yasiwe mengi
Siwez kumkosea mtoto aibu kiasi hiko
Hahhaha eti utaratibu mzuri we mzee bwana
Hahhaha eti utaratibu mzuri we mzee bwana

Atagusa jamani
Mjomba jamani,
Kuliwa ni kucheza bahati nasibu km vile tatu mzuka kuna kula na kuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh ,hapo sawa,ahsante Mjomba kwa kunielewesha, ujue vijana mna maneno yenu humu mie kdg yana nitatiza
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaAjahah achana nayo mambo yasiwe mengi
Ndio ndio toto
Usijali mjomba,mradi upo na vijana wako tutaenda sawa unapokwama uliza uelekezwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooooo
Kwa hili kuanzia leo wewe siyo rafiki yangu tena!!