Je wajua inakujia na shunie shunie shangaziiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si nakuona umeshaelewa somo,sema unajitoa ufahamu tuUmeongea kibabe km yule mgogo wa kwenye paliyamenti [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema huyu Maryiam,,anajitoa ufahamu,,,anataka hadi niseme nikinywa maji nakuona kwenye glassBaba wawili ndio mana nakupenda mm huwa huniangushagi
Aisee,,sad storyDah
Wahenga hawakukosea na misemo yao mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi![]()
Kwema broDada mbona kicheko kikubwa kwani kunani.
Shangazi mwenye mapenzi yake kwa mwanae hehe,Baba wawili ndio mana nakupenda mm huwa huniangushagi
Bahati nzuri limefanywa na mtu mweupe,Dah
Wahenga hawakukosea na misemo yao mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi![]()
Somo nalielewa sn na wala sijitoi ufaham.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si nakuona umeshaelewa somo,sema unajitoa ufahamu tu
Hayo ndo maneno ss[emoji4]nikilala nakuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema huyu Maryiam,,anajitoa ufahamu,,,anataka hadi niseme nikinywa maji nakuona kwenye glass
Mimi km unionavyo yaaani nipo fureshi kupitilizaDuuh mi mzima Dada hofu kwako