Prince az
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 1,223
- 1,570
Nimefurahi tu maisha yenyewe mafupi haya
Inawezekana umeona kitu kipya
Nimefurahi tu maisha yenyewe mafupi haya
Ndio umwage mahela sasa tena mengi mengi we mzee
Asante we mzee na mm nafurahi kukuona
Jinga wewe
HahahahaAsante we mzee na mm nafurahi kukuona
Nione nn mm sio mzee wa puchu kukulwz kutamu wewe ebu toka huko nenda kwa baba wawili jamani
Ndio umwage mahela sasa tena mengi mengi we mzee
Ndiwooo kumbe unajua
Kwendraaaaa
Ebu niambie labda mwenyewe nitakuwa sijuiInawezekana umeona kitu kipya
Asante jamani na kwako pia
Utume kwa tigo pesa huko Congo kwenu kuna opt hiyo eenh