moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,272
Hujambo ShunieMfyuuuu ebu uko usinifanye nileft jf na hizo mambo zako unazoniletea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujambo ShunieMfyuuuu ebu uko usinifanye nileft jf na hizo mambo zako unazoniletea
Mtu chake niaje mzee babaHahahaha, hapana huku sitaki nifungiwe, nataka nikija huko ,....anifungie
Sent using Jamii Forums mobile app
HahhahahaAhsante, shangazi Shunie unanifurahisha sana ujue ,ndio maana naupenda huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo unayetaka akufungie naona hana jina we mzee sasa huko Congo upo na mkeo eenhHahahaha, hapana huku sitaki nifungiwe, nataka nikija huko ,....anifungie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo moud habari yako
Huyo unayetaka akufungie naona hana jina we mzee sasa huko Congo upo na mkeo eenh
Hahhahaha
Kwahiyo huu uzi unaupenda sababu ya shangazi shunie
Eeenh kumkula tenaHahahaha, jina analo ila nahofia kumuudhi nisije kunyimwa kumkula bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mm ndio niliyekuleta huku ulikuwa unajifanya unaogopa kucomment ila we mzee kwa kuact sikuwezi mimiNaam ndio maana ake, na ndio aliyenikaribisha huku ,naupenda Uzi nampenda shangazi @Shunie
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mm ndio niliyekuleta huku ulikuwa unajifanya unaogopa kucomment ila we mzee kwa kuact sikuwezi mimi
Hahahaha, sasa akinifungia ndani ,si tunakulana au ?Eeenh kumkula tena
Kumbe nilikuwa sijui mm halafu inaonekana unapenda mambo ya kukulana we mzee
HahahahaHahahaha, ni kweli wewe umenileta huku, mie si act bana shangazi ,naogopa mambo ya vijana
Ndio maana nasubiri post zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nilikuwa sijui mm halafu inaonekana unapenda mambo ya kukulana we mzee
Sasa nikusamehe umekosea nini we mzee






Hapo niliposema kukulana ,nimesahau kumbe hupendiSasa nikusamehe umekosea nini we mzee