Makapuku Forum

Makapuku Forum

kwa hiyo unamchukia kwa sababu amekukataa au? Nimefuatili mizozo yote wewe ndiye chanzo kwa kujidai mjuaji kushinda wengine.. Una mamlaka gani ya kuwachagulia watu nini cha kufanya?

Unajiita rais huku huwezi kupambana na changamoto za Chit Chat?
Una tatizo gani mkuu naona uko na fist of fury tuliza mzuka yamalizeni tu yanini kuvuana nguo
 
5f51f6a473c959d556bf08cefbba8e3f.jpg
Bhange mbaya
................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom