Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
s unajua tena maneno matupu hayavunji mfupa....so relax tu
Nyimbo gan unapenda
R&B, Raggae, Country, Salsa, na mziki wowote ukiwa mzuri masikioni mwanguNyimbo gan unapenda
Aiseee![]()
Huo hapo
............
Mkono mtupu haulambwis unajua tena maneno matupu hayavunji mfupa....so relax tu
Mbin hazijiR&B, Raggae, Country, Salsa, na mziki wowote ukiwa mzuri masikioni mwangu
Huko magu akiniona hakawii kunitumbuaa....Sasa huko waliko kina Ronado ndio kwenyewe ninakokutaka
Ha Haaaa haaaaaaaaa nimecheka paka kwenye gari wameshtukaaaaaaaaaa![]()
Huo hapo
............
Hadi salsa duuuuuh.R&B, Raggae, Country, Salsa, na mziki wowote ukiwa mzuri masikioni mwangu
karibu tuwasikilize UB 40R&B, Raggae, Country, Salsa, na mziki wowote ukiwa mzuri masikioni mwangu
Naona unamifugo siku hizi, unaipeleka kama unavyotaka..OK
.......
Salsa ndio zile kama chura au????Hadi salsa duuuuuh.
hhahhahhha kwel wee mwana wa kileo kula SAVANNAH moja hapaMkono mtupu haulambwi
alikuepo humu sjui damu imekata kama ID yakeyoungblood uko wapi kaka????
Nilikuwa nakutumia nyimbo ya chris brown back to sleepR&B, Raggae, Country, Salsa, na mziki wowote ukiwa mzuri masikioni mwangu
Ha Haaaa haaaaaaaaa nimecheka paka kwenye gari wameshtukaaaaaaaaaa
Ungabuu nyani heshima yako.....wimbo ni hitsong