Makapuku Forum

Makapuku Forum

Moshi village tu
04b2e576d79e996f9914862d22c37008.jpg

............
Unatuletea nyumba serikali za nini mji sio magorofa ni watu kua na uwezo wa kujenga zao wenyewe
Moshi village tu
04b2e576d79e996f9914862d22c37008.jpg

............
 
Km unamshobokea kanfate PM
Km vitu huvijui kaa kimya
Siyo much know
Usituharibie mood
................
kwa hiyo unamchukia kwa sababu amekukataa au? Nimefuatili mizozo yote wewe ndiye chanzo kwa kujidai mjuaji kushinda wengine.. Una mamlaka gani ya kuwachagulia watu nini cha kufanya?

Unajiita rais huku huwezi kupambana na changamoto za Chit Chat?
 
Leo weekend ndugu,
Achana na mizozo isiyokuwa na msingi
Peace and love
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom