sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hapana mkuuuInaelekea mkali wa![]()
![]()
![]()
Hapana mkuuuInaelekea mkali wa![]()
![]()
![]()
Mbona mapema hivyo???Acha tu Bro.
Naomba nikutakie usiku mwema.
Sasa mwanaume ambae hata bundle inamshinda nae ni jipuMpunguzie mb
Kulala saa mbili weekend yote hii ni kipaji![]()
Good night wakuu.
nafurahi kukuona hapa kwa siku nyingine tena mkuu....Kwema mkuu
Mie huyo?? Umetisha.......Nicheq hapa email ibrahimmsuya@10gmail.com
Salsa ndo habari ya mjinikuhusu salsa muulize Jimena ila hiyo, mmmmh chura stori ndefu.........
Kiasiunaelewa lakini.....
Kuna wakati shida...Sasa mwanaume ambae hata bundle inamshinda nae ni jipu
Raha ale na nani shida ndo amletee Ximena??Kuna wakati shida...
Salsa hazina uhusiano na chura,Sizijui kwa kweli.....
Huku uswahilini tunajua vigodoro na miduara ila sio za chura kwakweli
Kalewa viroba anaona gizaKulala saa mbili weekend yote hii ni kipaji
kuna kiumbe hataki mawazo mapya na wala hataki changamoto mpya,. yeye kila kitu ni kununa na kuzira ovyo .. Haipendezi hata kidogoUna tatizo gani mkuu naona uko na fist of fury tuliza mzuka yamalizeni tu yanini kuvuana nguo