Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hahahaaa lisingejengwa je ungeonyesha nini?
Hahahaaa lisingejengwa je ungeonyesha nini?
umeona eee....watuache na mji wetu wa kihistoriaYerewiiii
Watuache aiseee
Sasa haya si makumbusho ya taifa yako kijiji cha makumbusho dar es salaam
Wakati wengine wakilia maji afya elimu miundo mbinu madawati mahospital mazahanati mashule kwetu ni ya kumwagaumeona eee....watuache na mji wetu wa kihistoria
kabisa mkuu umenikumbusha kitambo sana aisee wakat naskul kule....tulikuwa na mirad ya kuotesha miti kila mwaka na baadaee inatumika kama kutengeneza samani mbalimbali na kuuzaWakati wengine wakilia maji afya elimu miundo mbinu madawati mahospital mazahanati mashule kwetu ni ya kumwaga
Sina haja ya kuleta mizozo ila kwa tabia yake ya kuwaambia watu wafanye yale anayoyataka yeye binafsi hayanipendezi hata kidogo! Na pia kuna wengi wapo hapa ila wanaogopa kusema ukweli kwa kuogopa michango yao kususiwa.Leo weekend ndugu,
Achana na mizozo isiyokuwa na msingi
Peace and love
Uswahilini kwetuSasa haya si makumbusho ya taifa yako kijiji cha makumbusho dar es salaam
Love you too wifiThus you I love you my wii
Wise words
Uende ukapige picha utupie selfie hapa makapuku forumHiii kigambon nn
OKSina haja ya kuleta mizozo ila kwa tabia yake ya kuwaambia watu wafanye yale anayoyataka yeye binafsi hayanipendezi hata kidogo! Na pia kuna wengi wapo hapa ila wanaogopa kusema ukweli kwa kuogopa michango yao kususiwa.
Upo buanaaaaHiiii![]()
![]()
![]()
![]()
sipo hii
Mkuu vepeeeehahhhahahh karibu kwa masuprises mengineyoo
Wakuu hatimaee kapuku. Nimeshamaliza kazi za watu narudi homee....
Weekend weekend....
Jimena chagua sehem twende
boss unaonaje hata nikiwa mpiga picha za ukumbusho?Wakuu hatimaee kapuku. Nimeshamaliza kazi za watu narudi homee....
Weekend weekend....
Jimena chagua sehem twende
kwema tuuu mkuu najaribu kama kweli dalili yamvu ni mawingu.....Mkuu vepeeee
Watuache kwakweliiumeona eee....watuache na mji wetu wa kihistoria
Mkuu dalili ya mvua ni manyunyuukwema tuuu mkuu najaribu kama kweli dalili yamvu ni mawingu.....