Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Yani una![]()
mpaka ukutane na kibao kimeandikwa Stop ndo unasimama
Yani una![]()
mpaka ukutane na kibao kimeandikwa Stop ndo unasimama
Labda ndotoni.
hahahahahha nimeamua kukuotea tu.....shwari tu nothing to worryKila siku nayapaaa
Vepe Kwani????
W'end hii nipo maeneo yangu ya kujidaiSafi kabisa brother.
Weekend wapi sasa?
Embu atupie na YMCA tuuoneBrother uko maeneo gani.??
Mo townUkisikia mnara wa saa ndio huu![]()
Huo ndio mnara wa nini bitoz hahahaa
Jamaa anazinguaEmbu atupie na YMCA tuuone
Vipi kuna tatizoooPeterchoka hongera umeopoa kitu cha ukweli
Huu uchoko broWatu kama wewe.
Aggyjay hajambo brother!![]()
Pambo la kuzuzua washambaHuo ndio mnara wa nini bitoz hahahaa
Mlipe na kwa ule wa qYMCA ili ajue wa kwetu ni mwanajeshi na siyo mgambo kama huyoHuo ndio mnara wa nini bitoz hahahaa
Uchokonozi.Huu uchoko bro
labda viwanja vya jimkanaMjini hakuna pa kupumzikia??
Mlipe na kwa ule wa qYMCA ili ajue wa kwetu ni mwanajeshi na siyo mgambo kama huyo
![]()
![]()
![]()
![]()
Just a kidding
Sasa hapa amlete yule mgambo wake tumpiganishe na huyu tuone ni nani atashinda
Muda huo unakuta ulimi![]()
umekutoka balaa kama unataka kuanguka vileee
Labda kama ulimpa ndotoni.
Jogoo mwenyewe hawiki hiyo mimba utampaje?
