hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,437
- 73,398
Yaani obe Hutu huyu mgoni wangu " ndiye mchungaji " wakuniombea
Dunia simama nishuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani obe Hutu huyu mgoni wangu " ndiye mchungaji " wakuniombea
Huyo huyo anatenda miujiza.Yaani obe Hutu huyu mgoni wangu " ndiye mchungaji " wakuniombea
Dunia simama nishuke
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo hela nazo kunipenda mimi jamani embu ABJ zipate mama tufanye mambo
Sent using Jamii Forums mobile app


usijifanye huzitaki hapa wakati moyoni unatabasamKumbe mwaka mpya tayari naishi sayari ipi Mimi...Jiwe....happy new year


Mkusanya rambi rambi shangazi shunie
Sijambo babe umeamkaje eti
Binamu hana mapacha yeye
Unataka nikudanganye nikupe neno la matumainihivi kweli hata umeshindwa " kunipa neno la matumaini " Au ndio unashirikiana na mtoa roho kuimalizia roho ...
ABJ nimekukosea nini mama" ina maana Yale mautamu yako yote uliyokuwaga unanipa ndio nitaishia kuyasikia kwenye radio tu " .. dahhh nazimia
Sasa wewe wanawake wote waliojaa hivi unataka kujiua sehemu ambaya hautakiwiDaaah kumbe mganga wangu hakukosea alipo niambia kwamba mbaya wangu wa kwanza ni wewe !!!!!
Nimependa shunieSasa wewe wanawake wote waliojaa hivi unataka kujiua sehemu ambaya hautakiwi
Basi acha ukufwe tu sababu ana papuchi ya dhahabu eenh wengine hawana
Hahaaa "Basi acha ukufwe tu sababu ana papuchi ya dhahabu eenh wengine hawana
Ndiwooooo sasa tusemeje eti