Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani obe Hutu huyu mgoni wangu " ndiye mchungaji " wakuniombea

Dunia simama nishuke

Sent using Jamii Forums mobile app

..na nikimaliza maombi ni lazima utoe sadaka, sio chenjichenji, maombi yanahitaji notinoti. Hapo uyazidi kubarikiwa na utasahau kama uliwahi kupenda maana nitakuwa na hela yako ya sadaka na nitalipwa hela ya korosho
 
...my telemundo, yaani kila nikikuangalia asubuhi hii naona kama mwaka mpya umeanza, sidaiwi kodi wala ada ya shule ya watoto na nina hela ya kuhonga.

umeamaka salama kipenzi changu mwenyewe?
[emoji3][emoji3][emoji8][emoji8][emoji8]na unihonge za kutosha
Nimeamka salama my telemundo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kweli hata umeshindwa " kunipa neno la matumaini " Au ndio unashirikiana na mtoa roho kuimalizia roho ...

ABJ nimekukosea nini mama" ina maana Yale mautamu yako yote uliyokuwaga unanipa ndio nitaishia kuyasikia kwenye radio tu " .. dahhh nazimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntarudi hela zikiisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom