MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
So kind of you mpwa, nipone ili tuendeleze gurudumu kama zamaniMungu atakuponya uncle upo kwenye maombi yangu [emoji120][emoji120][emoji120] urudi kama zamani
So kind of you mpwa, nipone ili tuendeleze gurudumu kama zamaniMungu atakuponya uncle upo kwenye maombi yangu [emoji120][emoji120][emoji120] urudi kama zamani
Nakusalimu shunieMungu atakuponya uncle upo kwenye maombi yangu [emoji120][emoji120][emoji120] urudi kama zamani
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] usijali uncle Mungu wetu tunayemuomba huwa hashindwiSo kind of you mpwa, nipone ili tuendeleze gurudumu kama zamani
Jamaniii nani alikuteka lakini mpenziNakusalimu shunie
Naona kama nilijiteka ujue, acha tuuJamaniii nani alikuteka lakini mpenzi
Nimefurahi mnooo mpenzi kukuona karibu tenaNaona kama nilijiteka ujue, acha tuu
Amen and Amen[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] usijali uncle Mungu wetu tunayemuomba huwa hashindwi
[emoji23][emoji23]nawewe si utekwe na mjomba tuuKwahiyo na leo bado mmetekwa pia
Najiandaa hama mtandao huu!..🙂Jamani kwa nn lakiniii
pole bana, mambo yameenda poa lakini au bado?cousin nilikuwa nauguza bwana
Cousin sasa naendelea vizuri na afya imetengamaa, mishe nivipi lakini ?pole bana, mambo yameenda poa lakini au bado?
Shangazii hapiBilated[emoji7][emoji7]Je wajua inakujia na shunie shunie shangaziiiiii
yapo poa cuz!...hivi umeenda kuhesabiwa au upo mjini!?Cousin sasa naendelea vizuri na afya imetengamaa, mishe nivipi lakini ?
Shikamoo shemela mbebez wa kivuruge wetuyapo poa cuz!...hivi umeenda kuhesabiwa au upo mjini!?