Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Tetra mambo
Tetra mambo
Upii huoNajiandaa hama mtandao huu!..🙂
KhaaaaaJaman ifike mahali tuheshimiane, nimevumilia sana ila nimeshindwa. Kwa maoni yangu na sitaki kumponda mtu yeyote, baada ya kutafakari sana na kupima uzito kwa pande zote, ninachodhani na ninadhani na nyie pia mtakubaliana na mimi, maana ni jambo lipo wazi kabisa, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa kwa mustakabali wetu kama kikundi, mi naomba tu niseme na nina sababu za kuamua kulisema hili hapa. Kwa sababu zilizo wazi na nahisi na nisinukuliwe vibaya nasema hivi,(ingawa kiukweli sijali itakavyotafsiriwa na wengine) na pia nataka wote muwe mashahidi, kwakweli hata sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje.
WAPENDANAO WAKI POST PICHA
WAZUNGU: Me and My Bae
WABONGO: Ulinikuta nikiwa nimeshaumizwa moyo pamoja na kifua, ukanijali na kunipunguza maumivu, Kama ingekua kukupenda wewe ni dhambi, acha niende motoni. Nakupenda Sana mpenzi wangu, Siwezi Kuishi bila Wewe







Asante sana tetra


We uko wapi naona mtekaji anakuachia achiayapo poa cuz!...hivi umeenda kuhesabiwa au upo mjini!?
Hiyo shikamoo yako ya nn sasaShikamoo shemela mbebez wa kivuruge wetu
Heshima ya shemelaHiyo shikamoo yako ya nn sasa
Lazima umpe shikamooHeshima ya shemela
Miss u too prince upoooo
Za kupoteaNpo dada
Za kupotea
Za kupotea
Za kupotea
Mungu anakuona NumbisaWAPENDANAO WAKI POST PICHA
WAZUNGU: Me and My Bae
WABONGO: Ulinikuta nikiwa nimeshaumizwa moyo pamoja na kifua, ukanijali na kunipunguza maumivu, Kama ingekua kukupenda wewe ni dhambi, acha niende motoni. Nakupenda Sana mpenzi wangu, Siwezi Kuishi bila Wewe




Mm mzima sana hofu kwakoSalama tu sijui wewe
Bado umetekwa eenh
Tunamshukuru Mungu sana vipi wewe