Prince az
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 1,223
- 1,570
Mm mzima sana hofu kwako
Basi poa Sana dada
Mm mzima sana hofu kwako
Na huku unamisika pia jamani
Tunamshukuru Mungu sana vipi wewe
Basi endeleeni kutekana
Bora tusaidiwe ulinzi
cousin na hali hii niko sikuweza hata kusafiri, nitengamae kwanza halafu baada ya mwaka mpya ntaenda tu kwenye sensa.yapo poa cuz!...hivi umeenda kuhesabiwa au upo mjini!?
Kwema Nichorous Cage??cousin na hali hii niko sikuweza hata kusafiri, nitengamae kwanza halafu baada ya mwaka mpya ntaenda tu kwenye sensa.
Kwema kabisa mkuu, mimi niko salama kabisa ndugu yangu.
Kwema kabisa mkuu, mimi niko salama kabisa ndugu yangu.
Malipo utalipwa na Mungu
Kwema baba wawili za wewe
Asante na kwako pia baba parokoTumsifu Yesu Kristo ..
Hope Dominika ya Leo ilikua nzuri,wiki ya mwisho ya mwaka 2018
Niwatakie ,Week End Njema, Makapuku wote
Sent using Jamii Forums mobile app