Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tujitegemee!

Hapa ndo sehemu mojawapo ya kujipima kama kweli upeo wa akili yako uko sawia , kuamini jambo na kuchakata mambo hakuingiliwi na MTU au na kikundi cha watu

Tunahitaji mtu kushiriki jambo kwa uelewa wake bila mawazo ya mtu kuingilia maamuzi yake

Tunajiita "Great Thinker"

Iweje ujiite mtu mwenye upeo wa hali ya juu, mtu mwenye kufikiri jambo kwa kina kabla ya kutenda, MTU mwenye uwezo wa kuchakata mambo na kuchukua maamuzi ya jambo hilo kwa usahihi wake.

Halafu leo hii mnaunda vikundi?

Vikundi hivyo leo hii vimeleta matabaka humu ndani (wanasapotiana wao kwa wao, wanapeana like wao kwa wao) sasa hii ina maana gani?

MTU asimame kama yeye, hapo ndipo utadhihirisha kwa watu kwamba wewe ni Great Thinker.
 
Usijali mkuu huu ni uzi tu na sio kikundi

...sio kila wakati mtu asimame yeye kama yeye wakati wote, kuna wakati unahitaji usimame na wengine kufanikisha jambo lenye faida na manufaa kwako na wengine.
hapa ni jukwaa huru, mawazo yako yanaheshimiwa hata kama yatapingwa na ndiyo maana nzima ya kuheshimu mawazo ya mtu.
Great thinker unaowasema hawaamui peke yao, wanatanguliza maisha ya wengi (humanity) na hii ni kwa sababu wao ni sehemu ya hao wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom