Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Asalyam alyequm!!umeamka salama??
Aya ntamwmbia baba ako mpya ajue ratiba zimebadilika my son
Aya ntamwmbia baba ako mpya ajue ratiba zimebadilika my son
Mama mpaka sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara tisa!Aya ntamwmbia baba ako mpya ajue ratiba zimebadilika my son



Aisee,,,Mama mpaka sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara tisa!![]()
hahahahahhaha mtoto kua na adabuMama mpaka sasa hivi umeshanibadilishia baba zaidi ya mara tisa!![]()
waaleyqum salaaaam habiby niko poa hofu kwakoAsalyam alyequm!!umeamka salama??
Niko poa,Allihamdulillah namshukuru Mungu,,siku yako imeendaje?waaleyqum salaaaam habiby niko poa hofu kwako
Poa mjomba,,habar za kwako??Za week end wadau Makapuku
Holiday ndio hiyooo imefika pahala pake
Poa mjomba,,habar za kwako??
Ugimbi upo leo?
Ha ha ha ha ha kweli aisee,,weekend hii ndefu sana kwako mjomba,,Hahahaha, salama kabisa Mjomba
Ugimbi hapa ni sawa na kuuliza kiremba arabuni
Ha ha ha ha ha kweli aisee,,weekend hii ndefu sana kwako mjomba,,
nashukuru imeisha salama alhamdulillah sjui kwakoNiko poa,Allihamdulillah namshukuru Mungu,,siku yako imeendaje?
Ndiwoooo mkate madame
Ha ha ha ha kila la kheri mjomba,,kula bata lkn bakiza si unajua january hyo inakuja,,ada za shule,kodi za nyumba n.k,,,,Hahahaha
Week end, hii inaisha J5 jioni,alhamis mapumziko mafupi then tunaanza upya mpk mwaka 2019
Ilikuwa salama love,,umeivisha tayali?nashukuru imeisha salama alhamdulillah sjui kwako
mepika full leo niko kwenye party ya my best friend anaolewaIlikuwa salama love,,umeivisha tayali?
Ha ha ha ha kila la kheri mjomba,,kula bata lkn bakiza si unajua january hyo inakuja,,ada za shule,kodi za nyumba n.k,,,,
Harusi yetu lini love??mepika full leo niko kwenye party ya my best friend anaolewa