Hahahahaa sijamuona leo
HallelujahNakumbuka nalia mm ni yule niliyetukanwa na kudharauliwa wakasema sifai
Kawa adimu ghaflaHahahahaa sijamuona leo
Labda yupo busy tumsubiriKawa adimu ghafla
SawaLabda yupo busy tumsubiri
Nishakuja. Jirani.
Nipo ndugu yangu jana nilitoa likes kwenye uzi wa yule aliyewashindanisha na Mzigua nikaona mmenita ila nilibanwa sehemu hivyo hata sikuja.Hahahahaa sijamuona leo
Jamani tumeamka poa nilihisi tu ulibanwa kuna watu wanakosaga kazi humu kuanzisha thread za hovyoNishakuja. Jirani.
Nipo ndugu yangu jana nilitoa likes kwenye uzi wa yule aliyewashindanisha na Mzigua nikaona mmenita ila nilibanwa sehemu hivyo hata sikuja.
Mmeamkaje lakini ndugu zangu?
Na hakuwa na kazi kweli.Jamani tumeamka poa nilihisi tu ulibanwa kuna watu wanakosaga kazi humu kuanzisha thread za hovyo
Unaendeleaje mpenzi nimekumiss tu
Hahahhha eti unapambana na hali yakoNa hakuwa na kazi kweli.
Sijambo mimi nimeamka salama. Nami niliwamiss pia. Niko napambana na hali yangu.
Ndio ndugu. 😂😂😂 Usawa huu sioHahahhha eti unapambana na hali yako