Makapuku Forum

mbavu zangu mm we malaika ukuje uku
Hahaha hahaha hahaha
Natamani kweeliii angekuwa JF, nimshukuru tuu.. Ulikiwa mwendo wa dk 20 kwenye gari ndogo akafanikiwa kunisemesha na nikaelewa
 
Hahahaha

Kijana naona umenitag ,ila mie huko siko Kabisa ,nashukuru kwa tag yako

Kwa sasa Mjomba wenu nakula ugimbi, huku nikihakikisha Mzee mwenzangu Mh Emanuel Ramazan Shadary inakua president
Wewe unayejijua kuwa ni nyongo mkalia ini wake basi burudika namuziki huu. Binafsi mimi sikujui ila aunt Shunie hajakutaja sasa anko wangu Lyon Lee , au mtu chake , Davet , na wengine nawatakia msimu mzuri wa sikukuu

 
Huyo wa kwa mwendokasi si humjui wewe
Simjui aki...
Hata huyo ako na sauti nzito simjui pia...
Alikaa mbele mie nyuma...
Wa mwendo kasi naye baada ya kushuka tuliagana tuu baada ya kunipa mzigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…