Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Love u moreSalama kabisaa na kwako sina hofu kabisaa ..nakupendaaa tuu
Love u moreSalama kabisaa na kwako sina hofu kabisaa ..nakupendaaa tuu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Love u more
Umeanza ln mjomba??Nilimblock kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23]linaitwaje.?Vitoto vya shule tena??
Hili unalijua ama unalisikia mjomba[emoji116][emoji116]View attachment 968546
Nawe pia.Niwatakie siku njema ndugu zangu!!!
[emoji125][emoji125][emoji125]
Swalama marafikiHabari za asubuhi marafiki
Mery mamboSwalama marafiki
Unaongea na simu mkuu auWewe shangaziiiii vipiiii unaogopaa kuchomwaa ?
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawas shangaziii shuniaa
Baba wawili hata ww sijakudhania kabisa upo kwenye list ya wabaya wanguUnanitafutia kesi mjomba ha ha
Maisha yetu ni kama mti wa matunda. Kuna wakati unapukutisha majani, kuna wakati unakuwa na maua, wakati mwingine unakuwa na matunda mengi yenye kuvutia, wakati mwingine matunda yanaisha kabisa. Usijichukie uwapo kati ya kipindi kimojawapo. Usihukumu maisha yako kwasababu ya kosa moja! Au kwasababu ya magumu ya wakati mmoja, vumilia kipindi cha matunda kinakuja.
Pouwa,,mzima wewe?Mery mambo
Mi mzimaPouwa,,mzima wewe?