Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ooh yeah December baibeeeeee
#teamdec#

Haya jamani naaanza mapema kupokea zawadiii mahela ndio muhimu
20181215_121742.jpeg
 
Nimeamka na nguvu na kasi zaidi nipo mzima sana babe hofu kwako tu

Yaan mjomba wako ananipenda sana yaani mpaka najihisi kurudi ujana kupendwa rahaaa ukipendwa ringaaaaa
Hehe [emoji178][emoji178]makopa mengi kwa mjomba.
Forever young hakuna kuzeeeka mama tenaaa uringe kumzidi kinyonga [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Wouzerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] si unajua vile kupendwa ilivyo raha
Hehe [emoji178][emoji178]makopa mengi kwa mjomba.
Forever young hakuna kuzeeeka mama tenaaa uringe kumzidi kinyonga [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Back
Top Bottom