marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Embu kunywa maji baridi kwanza [emoji38]Na wewe usipokuwa na msimamooo naonaa unachepukaaa na ukichepukaaaa kumbuka kurudii kwa obe binamu
Embu kunywa maji baridi kwanza [emoji38]Na wewe usipokuwa na msimamooo naonaa unachepukaaa na ukichepukaaaa kumbuka kurudii kwa obe binamu
Niliiona shangazi.lkn ss wanasema mpe chansi tena uone km alikusudia au aliteleza na ganda la ndizi [emoji41][emoji41]Kwahiyo huoni akibebishana kweli wahenga hawakukosea walivyosema penzi ni upofu
Kwamba vita vya panzi sherehe kwako sio.?Rafiki kwani mimi sitaki tamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?Acha ivunjike huenda mimi nikapata chochote kitu![emoji12][emoji12][emoji12]
Ndio usijisahau sana ss[emoji38][emoji38]Na wewe kwelii
Maupendo yako kwake ndio sabbuNdiwooo sasa mtu hatulii kila mtu anamtaka yeye si lazima na yeye atafutiwe mchepuko
Hii ni 2nd shangazi mpe nafasi moja ya mwishoHuyo mumeo hajatulia kabisa anabebishana hapa mm roho inaniuma sana
[emoji23][emoji23][emoji23]unamjazaAsanteee kwa kumridhishaaa huyuu mtuu rohooo inamuumaaa ...au kwa kumkomoaa mwambie hakuna cha mchepuko nimesema mm jiwe ..yaan wewe umwambieee mzee wa chura
Salama mjomba,,habar ya uzima??Mjombaa mjombaaaa uhaliiii ganii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwema shangazi??Shkamoo mume[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi imeanza!....Hapa kazi tu!!....Jiwe i love you mama![emoji123][emoji123][emoji123]
Ukiweza hilo,,ntakufundisha njia ya pil tenaMkuu nifundishe kuwa mtoto mwema ili nami nile mema ya nchi hii ya makapuku![emoji4][emoji4][emoji4]
Jamani kumbe Madame ulikuja nilikua nataka kukusalimia tu mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka Yesu atakaporudi
Alikusubr sana hapa,,lkn hukutokeaJamani kumbe Madame ulikuja nilikua nataka kukusalimia tu mm
Sawa sawa shangazi,,kumbe uliziona fitina za mjombaAmemkosea sana baba wawili
Ha ha ha haPale unapomsalimia mume kwa heshima zote kumbe ameshatenguliwa usiku wa manane![emoji16][emoji16][emoji16]
Umeamkaje bebeUkatueka macho usiku wote manake nn
[emoji15][emoji15]