john mtulivu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 225
- 242
Vipi matoleo ya wazinguaji[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]mweka hazina nipo
Vipi matoleo ya wazinguaji[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]mweka hazina nipo
Heshima yko jiweCapital kanishinda mm
Heshima yko mjombaHahahaha
Kwema bro! Za wwKwema dada angu
Uturudishie lee wetu huyo wala hapendeziNa kukuwekeaa fally ipupaaa ndo malipoo hayaaa...wewe sio wa kunifanyiaa hv
Heshima ya nn na wwHeshima yko jiwe
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] pole mke mweeeeKuhusu kipigo mama kuna kipigo nilipigwa na Mr sitakisahau mpaka naingia kaburini na sijawahi tena kupigwa kile kipigo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe sio kachero ni shilawadu juzi nilikuona chit chat umewekwa mtu kati
Woooooooozeeeeeeeeeeeer motooooooooooooooooo hauzimimikiiiiiiiiiii huyuuuuuu ndo shunieeeeeeee ninayemmanyaaaaa mmUtajua mwenyewe yaan napenda beer napenda heineken sanaaa nakunywa nikijisikia sina stress mm naweza kuwalisha makapuku wote mwaka mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangazi mbona sikuzungumzii wewe![emoji847][emoji847][emoji847]
Nipo nmekumis kama wewe ulivonimisTell me
Jaribu tuoneeeUtajua mwenyewe yaan napenda beer napenda heineken sanaaa nakunywa nikijisikia sina stress mm naweza kuwalisha makapuku wote mwaka mzima
Eti niwe na stress sababu ya tamuuu sijuiii eti mapenzi nipo kwenye ndoa mm unaenda mwaka wa 10 sijaachwa wala sijaachika na sitegemei kuachwa #haachikimtu# na hata siku moja stress za mapenzi hazinipeleki peleki mm na beer siachi labda heineken zisiletwe Tanzania ndio siku nitakayoacha kunywa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti niwe na stress sababu ya tamuuu sijuiii eti mapenzi nipo kwenye ndoa mm unaenda mwaka wa 10 sijaachwa wala sijaachika na sitegemei kuachwa #haachikimtu# na hata siku moja stress za mapenzi hazinipeleki peleki mm na beer siachi labda heineken zisiletwe Tanzania ndio siku nitakayoacha kunywa