Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unabisha au chura kama yangu rangi kama yangu yaani nilijua mm
Ukiendelea kung'ang'ania naweka picha zako kumi hapa zinazoonyesha umbo lako lote kwa sababu mimi ni kachero mbobezi wa JF na ndiyo maana nawajua wote waliogeuka kuwa walevi wa kutupwa kwa sababu ya tamuuuuuuuuuu!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Weka hizo picha hivi unavyosema ulevi unaamaanisha kwahiyo mtu asinywe beer akinywa anaonekana mlevi napenda sana beer na sina stress kabisa maisha yangu mazuri sana
Ukiendelea kung'ang'ania naweka picha zako kumi hapa zinazoonyesha umbo lako lote kwa sababu mimi ni kachero mbobezi wa JF na ndiyo maana nawajua wote waliogeuka kuwa walevi wa kutupwa kwa sababu ya tamuuuuuuuuuu!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Eti niwe na stress sababu ya tamuuu sijuiii eti mapenzi nipo kwenye ndoa mm unaenda mwaka wa 10 sijaachwa wala sijaachika na sitegemei kuachwa #haachikimtu# na hata siku moja stress za mapenzi hazinipeleki peleki mm na beer siachi labda heineken zisiletwe Tanzania ndio siku nitakayoacha kunywa
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uzi utazungushwa kila siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani katibu mi mfanyakazi nlikuwa likizo sorry kwa kujibu mengine bila kupitia kwangu kikubwa tunaboresha Zaid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1541189351627.jpeg
 
Back
Top Bottom