Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526





Naangalia marudio ya game ya Chelsea. Wanaongoza 1 bila muda huu.





Naangalia marudio ya game ya Chelsea. Wanaongoza 1 bila muda huu.
Zingatia ahadiHakuna kitakachotutenganishaa
Nazikumbukaaa zoteeeZingatia ahadi
Kwamba nitembee kifua mbere nipo kwenye raiti traki,Jiwe niko hapa wala usiwee na neno
Nazikumbukaaa zoteee
Kwamba nitembee kifua mbere nipo kwenye raiti traki,
Naangalia marudio ya game ya Chelsea. Wanaongoza 1 bila muda huu.
Sijui kama kuna jipya apo binamu ...hili goma limewashindaaa wengiii
...kumbe Prof Benno Ndulu yupo huku kwa Wachumi?!1 Labda kwenye mkutano wao wataongelea na ni sababu gani Jumuiya ya wafanyabiashara imeshindwa kukutana majuzi.
Watauchambua uchumi wetu inaosemwa kuwa unakuwa kwa asilimia 7 kwenye makaratasi ilhali uchumi wa mtu mmoja mmoja uko chini isivyo kawaida. Mtumishi wa umma (mind you; serikali kwa hapa kwetu ndo muajiri mkubwa) hajapandishiwa mshahara tangu mwaka 2015, bei zimekuwa zikiruka kila siku, uwezo wa mtu kununua umeshuka (consumer price index yetu inayasema haya kwa uzuri kabisa), gharama za maisha zimeshuka na hii si afya kwa kila aina ya biashara.
Anway Lyon Lee uko kwenye sekta binafsi ya biashara unajua hali ilivyo. wachumi wakikutana tutapenda kusikia wamesema nini ila wakija na mapambio na kaswida tutasema asante
Wanasema #Kazi na Nini![]()
....ni upuuzi na kwa kuwa tunaongozwa na a budding authoritarian tunaodhani wanaweza kumwambia mfalme yuko uchi hawasemi, wanamjua jamaa lacks self-control, an infantalist to sum up, anadhani anajua kila kitu and can't learn to sit still. ataongelea korosho, ataongelea makinikia na huoni matokeo. Kila saa anataka aonekane anapendwa na media haziwezi kumuambia ukweli maana ni kama tunaishi kwenye polisi state. Biasara zinakufa na ukiuliza wasio na vichwa wanasema biashara za wapiga dili ndo zinakufa
Ngoja niendelee kufanya kilichonileta hapa Masasi, kesho inshallah nikimaliza mapema naanza kurudi Ntwara
...kazi na bata, sisi watu wa kusini hatutaki mchezo
Naangalia marudio ya game ya Chelsea. Wanaongoza 1 bila muda huu.
Half time 1-1!Mie nataka ya Arsenal na Man![]()
Baby tulaleee.....si unajuagaa vilee unakitamaniii kifuaaa mwendo wa bedwork#kissnahug
Ha hah...acha mabalaa yako, mambo ya chelsea yamekujaje humu muda huu? Mashabiki wa Arsenal mna matatizo sana
Zingatia ahadi


Baby tulaleee.....si unajuagaa vilee unakitamaniii kifuaaa mwendo wa bedwork