Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Moyo wangu.
Mi nipo mzima naendelea kutumikia uteuzi
....yeah, jitahidi kukazana sana maana uteuzi hauaminiki
Moyo wangu.
Mi nipo mzima naendelea kutumikia uteuzi
Sijui kama kuna jipya apo binamu ...hili goma limewashindaaa wengiii...kumbe Prof Benno Ndulu yupo huku kwa Wachumi?!1 Labda kwenye mkutano wao wataongelea na ni sababu gani Jumuiya ya wafanyabiashara imeshindwa kukutana majuzi.
Watauchambua uchumi wetu inaosemwa kuwa unakuwa kwa asilimia 7 kwenye makaratasi ilhali uchumi wa mtu mmoja mmoja uko chini isivyo kawaida. Mtumishi wa umma (mind you; serikali kwa hapa kwetu ndo muajiri mkubwa) hajapandishiwa mshahara tangu mwaka 2015, bei zimekuwa zikiruka kila siku, uwezo wa mtu kununua umeshuka (consumer price index yetu inayasema haya kwa uzuri kabisa), gharama za maisha zimeshuka na hii si afya kwa kila aina ya biashara.
Anway Lyon Lee uko kwenye sekta binafsi ya biashara unajua hali ilivyo. wachumi wakikutana tutapenda kusikia wamesema nini ila wakija na mapambio na kaswida tutasema asante
....yeah, jitahidi kukazana sana maana uteuzi hauaminiki


ujue sie tuliapa hata ukitenguliwa lzm kz ziendelee tuu tunageuka wote majiwe...mama hajambo sana, anakusalimia na mimi nakutakia mwanzo mzuri wa wikend nzuri
Haitotokeaaa kamweeeujue sie tuliapa hata ukitenguliwa lzm kz ziendelee tuu tunageuka wote majiwe
as mbona km naskia mapigo yanaenda tofauti Mimi.?
sio mapigo ya moyo pekee, pale utakapoanza kupoteza hamu ya kula na kutamani ndimu ya unga ndo ujue bao limekuingia hilo
Watasubiri sanaaaaaa![]()
Mimi na wewe hadi kiamaaHaitotokeaaa kamweee
Na bataWanasema #Kazi na Nini![]()
Sio kwamba nawe uje juu .?....endeleeni kukaa huko juu, mimi nipo hapa chini nawaangalia tu
Bao lkn halitakua la mkono, ?
Mimi na wewe hadi kiamaa
Na bata
unanichonganisha ss