capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,268
Asante..na tumeamka salama pia....lalaleni salama
Leo unatia watu moyo saa ngapi mkuu?Vipindi vya hovyo vya TBC ndio vinafanya tunashinda humu kuzamia PM za wachumba na maparody
Anytime Boss, vipi nianze na wewe.?Leo unatia watu moyo saa ngapi mkuu?
Capital na ww unashindaga pm kwaniVipindi vya hovyo vya TBC ndio vinafanya tunashinda humu kuzamia PM za wachumba na maparody
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mechekaKilo ya Mbaazi Tsh 300,Kilo ya vyuma chakavu 500 na Kilo ya Makopo Tsh 450!
Sasa utachagua mwenyewe ulime Mbaazi au uokote Makopo au ukusanye/uokote vyuma vyuma chakavu.
Capital na ww unashindaga pm kwani
Makopo Aiseee [emoji36][emoji36]Kilo ya Mbaazi Tsh 300,Kilo ya vyuma chakavu 500 na Kilo ya Makopo Tsh 450!
Sasa utachagua mwenyewe ulime Mbaazi au uokote Makopo au ukusanye/uokote vyuma vyuma chakavu.
The only opt. leftMakopo Aiseee [emoji36][emoji36]