marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Tutapendana tuu hakuna namna [emoji23]Alivo na roho mbaya anaweza kutuwekeaa wa nakupenda tu wa dudubaya
Nakupendaaaaaaaaaaaaa.
Tutapendana tuu hakuna namna [emoji23]Alivo na roho mbaya anaweza kutuwekeaa wa nakupenda tu wa dudubaya
Nakupendaaaaaaaaaaaaa.
Aiseee.Kuitafuta Ijumaa kwa muziki, happy almost furahiday wadau. Shule zimefungwa, kuwa makini sketi na kaptura mpya ukiziona jua ziko chini ya Jamhuri na huyu jamhuri huwa hapendi ubazazi
Burudika na muziki tu
...na mimi nakuhurumia sana. Uko mzima lakini
[emoji22]as mbona km naskia mapigo yanaenda tofauti Mimi.?,....niliiweka sema alikuwa busy na demu mpya anaanza na jina D? Huwezi kumjua hadi uambiwe na ndugu yake
[emoji23][emoji23]Husna mzima ? Mam mkubwa je ? ABJ anasemaje ? Bint Huba jee ...
Kaipata habari hunny.Mwambieee hunieee
Bby my swty nyingi mi moyo wanienda mbio ujue[emoji18][emoji17]mbona km kuna kanyororoWewe umefikaa hapa na mm nimetuaaa baby my swty lov lov
Ndo furaha yake huyu jamaaa...tutayashindaaaaa kipenziiii ...[emoji22]as mbona km naskia mapigo yanaenda tofauti Mimi.?
Kanatokaaa wapiii hako kanyororo wakatiii nmetuaa pahala salama ..rohoo yangu kipenziii cha mtimaBby my swty nyingi mi moyo wanienda mbio ujue[emoji18][emoji17]mbona km kuna kanyororo
Moyo wangu....na mimi nakuhurumia sana. Uko mzima lakini
Nikumbatie tight maana hali si hali[emoji4]Ndo furaha yake huyu jamaaa...tutayashindaaaaa kipenziiii ...
Moyo wangu.
Mi nipo mzima naendelea kutumikia uteuzi
Naona vugu vuguKanatokaaa wapiii hako kanyororo wakatiii nmetuaa pahala salama ..rohoo yangu kipenziii cha mtima
Niliposhikiliaaa walaa siachiliii make wapo wanaotamaniii uniachiee wakuchukueeNikumbatie tight maana hali si hali[emoji4]
Kabisa yaaani dah..naogopa kujipunjaMpaka unajioneeaa wivuu
Watasubiri sanaaaaaa [emoji8][emoji8]Niliposhikiliaaa walaa siachiliii make wapo wanaotamaniii uniachiee wakuchukuee
Watasubiri sanaaaaaa [emoji8][emoji8]
Aiseee.
Nakusalimia mama hajambo, ?