Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Ndio dada ake [emoji23][emoji23],,,bora hata umekuja najua utanitetea ndugu yangu,Usinambie umeopoa kaka ake
Ndio dada ake [emoji23][emoji23],,,bora hata umekuja najua utanitetea ndugu yangu,Usinambie umeopoa kaka ake
Ukumbushooo leo jiwe hayupo kaniachiaa madarakaaHarakat zako niliziona mapema tu,,tatzo yule mtt tayal alishawaelewa hahahah
Mjomba mjomba mjomba,,,Nitag jibu
Asante
Aiseee,,kumbe ofisi upo nayo ww leo[emoji134][emoji134]Ukumbushooo leo jiwe hayupo kaniachiaa madarakaa
Shikamoo Binamu!Heshima yko binamu
Ukumbushooo leo jiwe hayupo kaniachiaa madarakaa
Ukumbushooo leo jiwe hayupo kaniachiaa madarakaa
Nitengue mimi kama kweli umeachiwa ikulu![emoji12][emoji12][emoji12]Ukumbushooo leo jiwe hayupo kaniachiaa madarakaa
Hii ndio habari ya mjini kwa sasa
![]()
Habari zenuu...@shunie@Tumosa@Obe
Lazima jiwe atamtafutia uteuzi mara moja!!...salama sana mdau, khabari za masiku? mara zote ni furaha kukuona haa jukwaani.
Una Jipya?
Hongera kwa kujinasua mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtekaji kaniachia eti
Shukran binamuJumatano hii, wengie wanaiita hump day, ni juu yako kutafasiri hili neno unavyotaka. Ila upande wangu ni tafasiri moja tu, nayo ni kukushukuru wewe mdau Lyon Lee , Behaviourist , ABJ , Tumosa , ningendako , Mtoto halali na hela , Prince az , Numbisa , Shunie , mtu chake , Mndali ndanyelakakomu , dumejeuri , moudgulf , marybaby , Madame S , moneytalk , Malcom Lumumba na wewe mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Ninakupenda na unalijua hilo and don't get ahead of ourselves great people