Oooh basi amani....Nipo kama unavonionaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mjini hapa usimuamin kila mtu hata huyo binamu yakoWakatiii mmeuzaa korosho na hamjanilipaa mtajii wangu
Lakin ulishasemaa unampendaa na ubahili wake[emoji23][emoji23][emoji23]mjini hapa usimuamin kila mtu hata huyo binamu yako
Mi mwenyewe hajanipa hata mia
Hahahahh sasa nimuombe ili nionekane Kama dada poa
Yap nampenda hivohivoHuyu si alisema anampendaa na ubahili wake
Pambaanaa na haliii yakoooYap nampenda hivohivo