Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nakazia baba wawili na haitatokea utumbuliweBado sana kutumbuliwa mkuu
Nakazia baba wawili na haitatokea utumbuliweBado sana kutumbuliwa mkuu
Umeamkaje baba wawili jamaniHahahahah ulale poa bhana
Hahaha kule tutaonana leo au keshoShangazi waenda mbio nyingi sn.
Alafu twakungoja kule na "Moyo ulojeruhiwa"
Wa nn mm huyokwani leo nawe upo jirani na shngazi. ?
Naona maandishi ya kikubwa tuu leo
Hahaha kile kinywaji chake pendwa alikuwa anakitumia leo,,,afadhali kapumzika mapema,,,angeendelea teuzi zake zngeanza![]()
Mlikuwa mnanisema wenyeweShangazi yako leo ana mapovu![]()
Akalaza watu na stress za kutmbuliwa![]()
Ni bora kaenda kulala mapema






Umeamkaje toto tunduShangazi bia zimepanda kichwani sasa!!![]()
Kwa nn una wivu jamaniRafiki mimi siyo mzima kwa sababu huwa sipendi watu wachepuke!![]()
Karibuu na pole na uchovuuuAmka na magazeti na makapuku badae nitauliza kuna jipya kama binamu anavyouliza
Bora umekuja kuna watu wengi humu wamevunjika moyoHabari zenu Makapuku.? Nipo hapa kuwatia MOYO.
Hahahahaheeeh sitak ujinga
Rafiki na mimi naomba niunge tela!![]()
Hahahakumejaa haswaa
Membe anawachezeshaa mdundikoo