Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
kumejaa haswaaRafiki na mimi naomba niunge tela!![]()
kumejaa haswaaRafiki na mimi naomba niunge tela!![]()
Anza kumtia moyo babu mtu chake kwanza!Habari zenu Makapuku.? Nipo hapa kuwatia MOYO.
Me nataka kuwatia kapuku wote moyo.Anza kumtia moyo babu mtu chake kwanza!
babu mtu chake hali yake ni mbaya zaidi kutenguliwa siyo mchezo,mpe kipaumbele mkuu!!!!Me nataka kuwatia kapuku wote moyo.
Rafiki Kwa hiyo heri nikae pembeni kuepusha msongamano?kumejaa haswaa



Sawa Chiefbabu mtu chake hali yake ni mbaya zaidi,mpe kipaumbele mkuu!!!!
heri iwe hivo mana nafasi yako haipo kabisaRafiki Kwa hiyo heri nikae pembeni kuepusha msongomano?![]()
What???heri iwe hivo mana nafasi yako haipo kabisa
Habari zenu Makapuku.? Nipo hapa kuwatia MOYO.
Salaam Chief,...salama, huo moyo unataka kuutia wapi?
Salaam Chief,
Nakusudia kuutia kwenu makapuku.
Ahsante sana....asante kwa habari za huyu meya wa dsm kuachiwa kwa dhamana. Karibu sana kwenye jukwaa hili
bae stands for Before Anybody Else
am gud bby,,mambo vp??u mzima ww??how are you bae??
Nakuona binamu,,,hahaha....kuuliza si ujinga! Hivi bae ina maana gani?