Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sana