Makapuku Forum

Jitahidi usinywe maji wala juisi njiani kuepuka ajali
 
Shunie wewe ndo unaitwa Jiwe humu?

Hahahaaa nauliza kwa wema tu maana nasoma soma lakini sielewi kinachoendelea..
Hahhahahah
Ngabu yaani humu natungwa kila aina ya jina yaani wameshanifanya mm jalala lao

Ndio mm jiwe eti mwanzo nilikuwa sielewi kabisa kuja kujua mm ndio jiwe nimebaki nacheka tu
 
Sijambo mimi habari ya wewe.?mama hajambo.? Anko Binam wako ana taarifa hiyo.?
(kwakua bado tupo ktk sayari nyingine)

H ahahhaha, mama hajambo sana, anawasalimia wote na kukupongeza wewe kwa kunikataa vinginevyo hizi zawadi anazopata kila siku asingeziona. Anakupa pole Sana.

Anko hajui na hiyo sayari mliyoko andaa kidumu, msimu wa sikukuu anko huwa kama karumekenge aliyekataa kwenda shule, usije kutulilia humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…