Shikamoo binamuJumatatu Njema Wadau.
Nilikuwa na wikend nzui, asanteni kwa kutouliza ila najiaminisha kuwa kila mmoja alikuwa na wikend ya tofauti na yangu.
Jtatu siulizi kama Kuna Jipya.
Salamu nyingi sana tokea Nangao naelekea Masasi, nikifika nitawaambia
Binamu mke wa mtu huyo..Maria, hujambo beibe!! nna zawadi yako spesho, nikifika napoenda nitakuelekeza uende stand ya basi ukaipokee
Niko hapa binamu nakusikiliza mm...sina tamaa kwa hiyo wivu sina. Natosheka na afadhari, utani kando aunt, uko poa lakini? Hebu fanya kusafisha jina langu nikupe story moja nzuri sana ambayo baraka zimenimwagikia wikend hii na ninapenda na wewe aunt yangu ushiriki furaha yangu
HahahahaaaaaaWoyooooo
Nasema hivi asiye na babe abebe geisha
Nimetamani mm lakini wa kukaanga
Uko poa lakin mama mwenye maupendo yakeee...nmeonaa uteuziii mpyaaNimetamani mm lakini wa kukaanga
Niko poa mm hofu kwako tu uteuzi mpya kama kawaaa nani anatesekaaaaUko poa lakin mama mwenye maupendo yakeee...nmeonaa uteuziii mpyaa
Mzee wa chura ndo anatesekaaaNiko poa mm hofu kwako tu uteuzi mpya kama kawaaa nani anatesekaaaa
Binamu mke wa mtu huyo
Kumbe ni wewe Jiwe, nilikuwa namtafuta jiwe sasa bahati yangu kumbe ni ndugu kabisaNiko hapa
Mzee wa chura ndo anatesekaaa
Hahahahha pole yake mnoooMzee wa chura ndo anatesekaaa
Kheeee mke wa Lyon Lee binamu upoje lakini.....najua, ndo maana namtaka maana napenda mtu mwenye uzoefu, sitaki njuka mimi
Hahahhaha ww si ndio uliniambia mm ndio jiweKumbe ni wewe Jiwe, nilikuwa namtafuta jiwe sasa bahati yangu kumbe ni ndugu kabisa
.....kwa namna anavyoteseka inabidi tumtafutie wizara yenye hips za nyoka
Niko hapa binamu nakusikiliza mm
Hahahhaha ww si ndio uliniambia mm ndio jiwe